JOYCE MSUYA
SLP ****
ARUSHA
HUMAN RESOURCES MANAGER
ROYAL GOLDEN HOTEL
ARUSHA-TANZANIA
YAH:MAOMBI YA KAZI YA UHUDUMU KATIKA HOTEL YAKO.
husika na kichwa Cha habar hapo juu mimi ni bint mwenye umri wa miaka 22 nina omba kazi ya uhudumu kwa wateja katika hotel yako nina uzoefu wa kutosha katika uhudumu kwa wateja kwa upendo,ucheshi,usafi,na kwa ukarimu.
Nina ahidi kuwa mfanyakazi bora na na na mwenye ushirikiano na heshima kwa wateja ili kuongeza dhamana ya huduma bora katika huduma hotel yako.
Natumaini ombi langu lita kubaliwa na nipo tayari kutoa nyaraka zaidi ya barua hii endapo zita hitajika.
Wako mtiifu
Joyce vitalis msuya